GET /api/v0.1/hansard/entries/1225034/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1225034,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225034/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, hawa wauguzi wanafanya kazi nyingi sana katika hospitali za kaunti lakini hawalipwi. Kwa hivyo, swala la ugavi wa fedha litakapoletwa katika hili Bunge la Seneti, tuwape mgao wa kutosha ili madaktari wetu waongezwe mshahara. Madaktari wengi katika Kaunti ya Laikipia walikuwa wamefutwa kazi na yule Gavana wa zamani. Ninamshukuru Gavana wetu kwa sababu tulishirikiana na kuwarudisha kazini madaktari hao. Tutaendela kuangalia hilo jambo---"
}