GET /api/v0.1/hansard/entries/1225043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1225043,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225043/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ninatumai muda wangu ulikuwa umesimamishwa. Katika eneo la Nanyuki, madaktari huko wanaendelea kufanya kazi katika hali duni sana. Mshahara wanaolipwa hautoshi. Pia wauguzi wanaishi maisha ya uchochole. Sio Nanyuki peke yake bali pia Nyahururu, Kinamba na Rumuruti. Kuna madaktari wengi lakini zahanati zetu zilionekana kuwa nzuri wakati wa homa kali ya COVID-19. Baada ya ugonjwa huo kupungua, inaonekana ni kama wameachwa na hawaangaliwi tena. Ninaiomba Kamati inayoongozwa na Sen. Mandado kuvalia njuga suala hili na kuliangalia kwa kina kirefu. Wewe umekuwa katika hizo kaunti na unajua shida ambazo madaktari wanapitia---"
}