GET /api/v0.1/hansard/entries/1225560/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1225560,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225560/?format=api",
    "text_counter": 646,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Ahsante, Bi. Spika wa Muda. Mimi nilikuwa hapa tokea mwaka 2013. Damu ya Maseneta walioko hapa, wengi wao ni vijana. Kwa hivyo, mimi ninaelewa wakiwa na harakati hizi ya kushindana. Ndugu zangu shupavu, Sen. Chimera, Maseneta wa Nandi, Kericho na wengine ni washupavu na damu zao ni moto."
}