GET /api/v0.1/hansard/entries/1225570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1225570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225570/?format=api",
    "text_counter": 656,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Asante sana Bi. Spika wa Muda. Hii Nyumba imerudi kuwa kama ya watoto wadogo wanaopiga kilele. Pande zote mbili ni kama hawakuheshimu. Sen. Cherarkey, upande huu na upande ule mwingine, ni Seneta wa Nairobi. Tafadhali tupa hawa watu nje ili wajue hicho kiti umekikalia vizuri. Kama hautafanya hivyo, hawa watu watakusumbua mpaka kesho."
}