GET /api/v0.1/hansard/entries/1225574/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225574,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225574/?format=api",
"text_counter": 660,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bi. Spika wa Muda, sijui kama hiyo uliyomruhusu Sen. Chute aseme ni hoja ya nidhamu. Lakini, wacha niendelee. Ni maono mazuri kwa sababu vijana kama ndugu yangu Sen. Cheruiyot hawezi kupata. Bi. Spika wa Muda ungeniruhusu kuweka huu mjadala mbele ya Bunge la Senati hivi sasa ile tuweze kuhairisha kikao hiki na kujadiliana mjadala huu ambao ni wa kitaifa na hususan unahusikana na ukatili wa polisi wa kufungia Waheshimiwa na wananchi katika vituo vya polisi kote nchini pamoja na viongozi wao."
}