GET /api/v0.1/hansard/entries/1225578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225578,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225578/?format=api",
"text_counter": 664,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Tafadhali ndugu yangu Sen. Cherarkey, jambo hili nilalozungumzia linahusika na kitu cha kitaifa kilichotendeka upande wa upinzani. Kama hakina maana kwako, tafadhali wacha Bi. Spika wa Muda aniskize na wananchi wote katika Kenya saa hizi wananiskiza. Kwa heshima, tafadhali."
}