GET /api/v0.1/hansard/entries/1225579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225579,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225579/?format=api",
"text_counter": 665,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, tuko na kijana aliyeuaua huko Kisumu. Tuko na kijana ambaye alikuwa anasoma katika Chuo Kikuu cha Maseno. Hawa wawili walipigwa risasi na kufa. Sio kupigwa risasi kuumia tu, ama kuwa wagonjwa; walipigwa risasi na polisi. Kawaida katika kitengo hiki cha 87 cha Katiba--- Sasa hivi, nimesema ya kwamba Sen. Cherarkey aondoke, hivi sasa, kumekuja mwingine tena, anakuongelesha na huniskizi."
}