GET /api/v0.1/hansard/entries/1225583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225583,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225583/?format=api",
"text_counter": 669,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, tuliweza kuingia pale KICC ambapo kuna ofisi za Maseneta. Tuliweza kusimama pale na kuongea kidogo na watu waliokuwa pale. Hakukuwa na fujo hata kidogo. Kitu cha kushangaza ni kwamba ndani ya KICC Wabunge hawatembei wakiwa wamebeba bunduki. Mimi mwenyewe nilikuwa mmoja wa wale watu, na nilikuwa sina silaha wala sijui kutumia hata hiyo silaha wala sina haja nayo. Tulipigwa teargas, watu waka---"
}