GET /api/v0.1/hansard/entries/1225586/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225586,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225586/?format=api",
"text_counter": 672,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. Madzayo): Niheshimu kama nilivyokuheshimu. I also have a way of insulting you. This is a serious matter and itinvolves people who have lost their lives. Their families are right now crying. Familia saa hizi, popote walipo, kutoka Kisumu na Maseno, watu wanalia. Familia zimepoteza wapendwa wao. Kama hawa wako na wapendwa wao, sawa sawa. Lakini, wale waliouaua ni wa upande huu mwingine ambao hawakuwa katika hizo harakati."
}