GET /api/v0.1/hansard/entries/1225587/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225587,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225587/?format=api",
"text_counter": 673,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, cha mwisho, ilikuwa ni makosa makubwa sana kwa askari kuchukua hatama ya kuongoza hilo jeshi lao na kuanza kutupa kwa wananchi ambao walikuwa wanaenda hivi hivi. Kitu cha kwanza, walipiga risasi gari la Baba Raila Amolo Odinga. Waliweza kupiga risasi gari ya Kalonzo Musyoka na waliweza pia kutupa"
}