GET /api/v0.1/hansard/entries/1225590/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225590,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225590/?format=api",
"text_counter": 676,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mimi nikiwa Kiongozi wa Walio Wachache ndani ya Bunge la Seneti, inafaa nipewe heshima kwa sababu kesho kutakuwa na kiongozi kutoka upande huu. Nakuombea Mungu. Itakuwa ni aibu kuweza kuchukuliwa wewe na polisi, kushikwa na kurushwa ndani namna ile. Vile vile, ni makosa makubwa sana kuweza kuamrisha kiongozi wa chama cha Azimio kuweza kupigwa risasi gari lake. Hiyo ilikuwa inamaanisha nini? Askari lazima wazingatie mambo ya sheria."
}