GET /api/v0.1/hansard/entries/1225592/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225592,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225592/?format=api",
"text_counter": 678,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Wewe unajua hijab ina maana gani kwa sababu wewe ni wakili mkubwa huko Mombasa. Ni mavazi ya heshima kwa sababu huwezi kuona msichana ama mwanamke wa kiislamu akiwa bila mtandio ama hijab ya kufunga nywele zake."
}