GET /api/v0.1/hansard/entries/1225596/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225596,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225596/?format=api",
"text_counter": 682,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Leader of Minority",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, hili si jambo la kuchezea namna hiyo. Hata kama wewe ni askari na hauheshimi dini ya Kiislamu, sisi tunakwambia kitu kimoja, wewe askari uliyemvua nguo, na wewe ulikuwa mama, heshimu dini ya kiislamu."
}