GET /api/v0.1/hansard/entries/1225605/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225605,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225605/?format=api",
"text_counter": 691,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Nikimalizia, hao ni viongozi wetu ndani ya chama chetu. Kwa hivyo, tunahitaji heshima. Kitu chochote kikitendeka kwa Baba Raila Odinga, tutajua ni polisi ama ni wale wengine ambao wameweza kujipanga na kuweza kufanya vile wanavyotaka kufanya. Nataka kutoa tahadhari ya kwamba jambo lolote lisitendeke juu ya Baba Raila Amolo Odinga."
}