GET /api/v0.1/hansard/entries/1225802/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1225802,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225802/?format=api",
"text_counter": 888,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, ninashukuru kwa kunipa fursa. Ni vizuri Hoja hii imeletwa leo ndio watu waeze kuongea. Kulingana na Katiba ya Kenya, Kipengele 37, kinasema vizuri sana, maandamano yanapaswa yafanywe lakini kwa amani. Kwa hivyo, watu kubeba mawe ni jambo ambalo linaudhi sana. Kuwashambulia Wakenya wengine na kuwaibia ni jambo ambalo halikubaliki. Mimi niliona maandamano hayo watu walkuwa wanatembea hapa mjini na wakafanya maduka ya watu yafungwe."
}