GET /api/v0.1/hansard/entries/1225806/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1225806,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1225806/?format=api",
    "text_counter": 892,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Kwa hivyo, Bi. Spika wa Muda, ni vizuri historia ya anayeongoza maandamano ijulikane. Tunajua ya kwamba alifanya maandamano akasumbua Rais Moi hadi akamfanya kuwa waziri, alafu akafurahi. Kutoka hapo, akafanya maandano tena wakati wa Rais Mwai Kibaki, akafanywa kuwa Waziri Mkuu. Akafanya maandamano wakati wa Rais Uhuru Kenyatta, akasalimiwa. Ukiona jina Orange Democratic Movement (ODM), inamaanisha One Dangerous Man na anajulikana ni nani. Anajulikana. Kwa hivyo, inapaswa ijulikane vizuri ya kwamba hata sasa---"
}