GET /api/v0.1/hansard/entries/1226948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1226948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1226948/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13592,
"legal_name": "Onyonka Richard Momoima",
"slug": "onyonka-richard-momoima"
},
"content": ". Angalia Katiba yetu ili muanze kuzoea kujua kazi mtakayofanya, ikiwa itakuwa kazi ya MCA au Mbunge au Seneta. Ukifika hapa utakuwa na ujuzi ni lipi tunalofanya katika hili Bunge. Asante kwa kufika hapa na nimeskia Sen. M. Kajwang’ akisema kwamba atawanunulia soda kabla hamjaondoka."
}