GET /api/v0.1/hansard/entries/1226991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1226991,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1226991/?format=api",
    "text_counter": 143,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Nakushukuru, Naibu Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili kuchangia Taarifa iliyoletwa na Seneta Mteule, Sen. Crystal Asige, kuhusu mambo ya watu wanaoishi na ulemavu. Katika Taarifa yake amesema hakuna takwimu za kutosha za watu wanaoishi na ulemavu. Wasemaji waliotangulia wamesema kwamba bila takwimu ama data hatuwezi panga mambo ya walemavu. Kenya inashida ya kuangazia mambo yanayohusu watu wanaoishi na ulemavu. Leo, katika Kamati ya Elimu ya Seneti, tuliangazia sheria ya Disability Bill . Tulihusisha wadau kuangazia sheria hii inayohusu walemavu na tuligudua mambo ya"
}