GET /api/v0.1/hansard/entries/12270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 12270,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/12270/?format=api",
    "text_counter": 576,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, ninaomba nami nitoe mchango wangu kwa Hoja hii ya hawa vijana chipukizi ambao wameteuliwa kuhudumu katika Kamati hii. Kama ujuavyo, hii ni mara ya kwanza Bunge hili kuhusishwa kikamilifu katika kuchagua Kamati ambayo itahusika kutambua mipaka yetu ya maeneo ya Bunge. La muhimu ni kuwa, hawa vijana wamejitambulisha kuwa wana uwezo na hekima. Baada ya hayo mengi, Kamati hii imedhihirisha kuwa ina uwezo wa kuangalia uchaguzi utakaofuata kwa misingi inayofaa ili taifa hili lisije likajipata katika janga ambalo lilijikuta wakati uliopita. Kwa hayo machache, ninaomba kuunga mkonoHoja hii."
}