GET /api/v0.1/hansard/entries/1227097/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1227097,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1227097/?format=api",
    "text_counter": 249,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "akisema kuwa tunafaa kuendelea kufanya kazi. Kusema kweli sisi wengine ni watu wa mkono, technical people siyo watu wa siasa sana. Hoja nyingi zipo. Kuanzia wiki ya kwanza iliyopita niko na Kauli na Hoja lakini hazijafika bado. Nimeona vitu vingi kweli havijakuwa sawa. Kuna Hoja, kwa mfano, ya Sen. Orwoba. Kusema kweli ina maana sana kwa wasichana wetu kuwa na sanitary towels. Nimeona Hoja nyingine ya Sen. Kavindu Muthama kuhusu 1998 bombing"
}