GET /api/v0.1/hansard/entries/1227248/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1227248,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1227248/?format=api",
"text_counter": 400,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda. Nimekuwa nikisikiliza maoni kutoka pande zote na ninaona muda unasonga. Watu kule nyumbani husema, nitaomba nizungumze kwa lugha asilia kisha nitafsiri. Fisi aliambia jiwe; ‘japo utanyamaza umesikia. Wakhasila waulile.’"
}