GET /api/v0.1/hansard/entries/1227259/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1227259,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1227259/?format=api",
"text_counter": 411,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Watu wa Mombasa, tunasikia Bandari iko kwa shida. Ni lazima Waziri aje atueleze ni mikataba gani, ni nani wanahusika na kama tuna haki ama hoja za kuthibisha ya kwamba kuna watu wanaotaka kupora nchi ya Kenya, tuwanase. Sisi ndio wengi katika Seneti. Sioni kitakachotutisha lakini ni lazima tufuate sheria, Mawaziri waje watueleze. Wakenya kule nyumbani wasikilize kwamba tuliuliza kile walichotutuma na majibu tumeypata."
}