GET /api/v0.1/hansard/entries/1227458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1227458,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1227458/?format=api",
    "text_counter": 166,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, ningependa unipe mwelekeo kwa sababu aliyeleta Taarifa hii ni Naibu wangu katika Kamati ya Agriculture, Livestock and Fisheries. Bw. Spika, nieleze iwapo mtu anafaa kujiuliza swali. Swali lililoulizwa na Sen. Munyi Mundigi kama Naibu Mwenyekiti, litakuja kwake ama kwetu pia. Pili, jambo lililoulizwa ni la maana sana kwa kuwa juzi tu, nililalamikia jambo hilo kama alivyosema Sen. Olekina. Nilipokuwa nafanya uchunguzi wangu, nilienda dukani kwenye makadamia. Swala hili linahusu makadamia, korosho na bixa. Nilizungumza na Sen. Wafula, naye akanieleza pia huko Tongaren, wako na shida iyo hiyo ambapo makadamia yananunuliwa kwa Kshs20. Gramu 150 ya macadamia"
}