GET /api/v0.1/hansard/entries/1227460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1227460,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1227460/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "inauzwa kwa Kshs505. Ukihesabu vizuri unapata kuwa wanafinya wakulima. Wananunua kwa Kshs20 au Kshs30 na kuiuza kwa Kshs3,600. Sheria ambazo zimetungwa zina ubaguzi fulani. Katika ile mimea yote ambayo inafaa kufuata hizo sheria ni makadamia, pyrethrum, cashew nut na bixa. Katika mimea hio mingine yote, hakuna hata moja ambayo unahitajika kuomba ruhusa ili uize. Sheria ya 43 iliyoletwa mwaka wa 2016, ilifungia wakulima wa makadamia, korosho, bixa na"
}