GET /api/v0.1/hansard/entries/1227462/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1227462,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1227462/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": ". Ni vibaya sana mkulima kupanda miti na ikifika miakia 10, macadamia yananunuliwa kwa Kshs20. Zamani kidodo palikuwa na Wachina ambao walikuwa wanakuja kununua makadamia kwa Kshs180. Miaka minne imepita tangu wakati huo. Sasa tunashangaa kwani hakuna mahali pa kuziuza kwa sababu kampuni tano zimeungana, wameketi chini na kufinya bei ya makadamia, korosho na bixa hadi Kshs20 na Kshs30. Bw. Spika nimechangia. Hata kama nitajiuliza hilo swali mwenyewe, nitalijibu kisawasawa."
}