GET /api/v0.1/hansard/entries/1228272/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1228272,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1228272/?format=api",
    "text_counter": 58,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Sisi hapa kwetu tuna ile shule ambayo ilitajwa na Kiongozi wa Wengi ambayo inaitwa Centre for Parliamentary Studies and Training (CPST) itakayokuwa ikifanya mafunzo. Tungeomba mkifika hapo mtembelee huko hata muweze kuona masomo yanavyotekelezwa huko. Karibuni na muendelee kucheza golf ambayo ndugu yangu amezungumzia. Mimi pia nimebobea katika mchezo wa golf na ninajua tutapatana viwanjani."
}