GET /api/v0.1/hansard/entries/1228598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1228598,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1228598/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Alishikwa kwa sababu alikuwa akiandamana na ilikuwa kinyume cha sheria na ilijulikana wazi. Ni vizuri yasemwe. Sen. Wambua anafurahi na ninaona akiniambia niendelee kuongea lakini sitaongea mengi. Ijapokuwa nimemsikia Seneta wa Kaunti ya Mombasa akisema Serikali hula wana wake, anajua ya kwamba zimwi likujualo halikuli likakwisha."
}