GET /api/v0.1/hansard/entries/122886/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 122886,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/122886/?format=api",
    "text_counter": 367,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Githae",
    "speaker_title": "The Minister for Nairobi Metropolitan Development",
    "speaker": {
        "id": 159,
        "legal_name": "Robinson Njeru Githae",
        "slug": "robinson-githae"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Nataka kumshukuru Naibu wa Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha. Kwa sababu sasa tumempatia pesa, tunataka azipatie Wizara pesa ili tuanze kuwafanyia wananchi wa Kenya kazi. Asante sana, Naibu Spika wa Muda."
}