GET /api/v0.1/hansard/entries/1228934/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1228934,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1228934/?format=api",
"text_counter": 39,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Mr. Speaker, Sir, as you are aware, enyeko ni kusema “wenyewe huko” ni kwamba unawasalimia kisawa. Pia, Kiswahili unaweza kusema wenyewe huko. Sikuendelea kusema hamjambo, nimesema tu wenyewe huko? Nafikiria imeeleweka hapo. Bw. Spika, ningependa niendelee. Nakushukuru sana kwa kunikaribisha na mimi niweze kuungana na wewe kuwakaribisha hawa ndugu zetu. Nina matumaini makubwa ya kwamba vile ambavyo wamekuja hapa ndani ya Bunge letu la Seneti, wanaweza kujionea kabisa utendakazi wa Bunge la Seneti ulivyo. Nina uhakika wameweza kukutana na Maseneta kadha kadha, nikiwa mmoja wao anayewaelewa sana. Nina matumaini ya kwamba, wakirudi nyumbani taratibu za Bunge la Seneti watazokuwa wameona hapa wataweza kuzifikisha huko. Kulingana na vile sisi huwa tunajadiliana hapa, hili ni Bunge ambalo liko na wakakamavu."
}