GET /api/v0.1/hansard/entries/1228936/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1228936,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1228936/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Hapa hatuna siasa zile za kulumbana, za juu ambazo watu hawaelewani kama ndugu. Hapa tunafanya ile bipartisan debate kisha tukiona pande fulani kuna suggestion nzuri zaidi, huwa tunakubaliana. Hata hivyo, kwa mara nyingi utakuja kuona kwamba misimamo mikali pia huwa tunaifanya ndani ya Bunge letu la Seneti. Kwa hivyo, tuna uhakika mmejionea na mtawajibika. Tuko na Serjeant-At-Arms hapa ambao wanafanya kazi kubwa sana. Nina hakika mkirudi nyumbani yale mliojifunza hapa mtaweza kuyatekeleza kule nyumbani. Asante sana, Bw. Spika."
}