GET /api/v0.1/hansard/entries/1229039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1229039,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229039/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, nawashukuru wenyeviti ambao wamesoma Taarifa zao hapa. Ijapokuwa tunawashukuru, ni jambo la kuvunja moyo kwa sababu suala la waliokuwa madiwani limekuwa sugu na nyeti. Nakumbuka wakati Sen. Madzayo alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Labour"
}