GET /api/v0.1/hansard/entries/1229041/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1229041,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229041/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "nilileta Hoja hapa na tukajadili kuhusu suala hilo. Wakati Sen. Sakaja alipokuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, pia suala hilo liliongelewa. Sasa tunaongea kulihusu tena. Nakumbuka lililetwa hapa na Sen. Wambua na sasa limeletwa tena na Sen. Cherarkey. Sasa hivi ninapoongea, limepelekwa kwa Kamati ambapo Mwenyekiti ni Sen. (Dr.) Murgor. Badala ya kukaa hapa kusoma ripoti--- Sijui watu wanatuchukulia vipi kwa sababu suala hili limekuwa likiongelewa hata kabla tuje katika Seneti hii. Mapendekezo yaliletwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Labour and Social Welfare, Sen."
}