GET /api/v0.1/hansard/entries/1229150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1229150,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229150/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Samahani, Bw. Naibu Spika, kama umeielewa hivyo. Mategemeo yangu ni kwamba ni watu ambao hawana msimamo katika mambo ambayo wametumwa kufanya. Kwa hivyo, hata tukiwa na sheria nzuri namna gani, wale ambao watatumwa kutekeleza sheria zile, ikiwa ni watu waoga ambao wanajali mkate wao kwanza kuliko kujali yale mambo ambayo yanafanyika, itakuwa ni kazi ya bure."
}