GET /api/v0.1/hansard/entries/1229159/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1229159,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229159/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kwanza, ninashukuru kwa maongozo yako. Lakini, najaribu kufikiria dada yangu, Sen. Veronica Maina, sijui amesimama kwa msingi gani ya Kanuni zetu za Kudumu za Bunge. Yale anayoyazungumza ni mambo ambayo--- Mimi sijataja Serikali ya Kenya Kwanza . Nimesema Serikali zote. Hata Serikali ya Jubilee ilimweka ndani Sen. Cherarkey bila msingi wowote na wakamnyima bond. Hata Sen. Olekina aliwekwa ndani na Serikali hiyo."
}