GET /api/v0.1/hansard/entries/1229165/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1229165,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229165/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Hizi ni taasisi ambazo zimetajwa hapa. Nimesema kwamba ikiwa taasisi hizi zina watu ambao hawana msimamo, wandani wa wale wanaoongoza Serikali, ina maana kwamba yale yote ambayo yanatarajiwa kufanyika kulingana na sheria hii hayataweza kufanyika."
}