GET /api/v0.1/hansard/entries/1229167/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1229167,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229167/?format=api",
    "text_counter": 272,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu wa Spika, katika Bunge lililokwisha, kulikuwa na Mswada watu wa Kaunti ya Nakuru, walipokuwa wanaomba kupata nafasi ya kuwa jiji, yani City County, waliwakusanya randa randa wote wa mjini wakaenda wakawatupa msituni kule Kaunti ya Baringo."
}