GET /api/v0.1/hansard/entries/1229170/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1229170,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229170/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa kumalizia, ninampongeza Sen. Mungatana kwa kuleta Mswada huu ambao utasaidia pakubwa kuziamsha kaunti zetu ambazo haziangalii sana maswala ya haki. Wanaangalia mambo madogo madogo ambayo kwa muda mrefu, hayapeleki mbele haki za wananchi katika kaunti zile."
}