GET /api/v0.1/hansard/entries/1229316/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1229316,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229316/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sirisia, JP",
"speaker_title": "Hon. John Koyi",
"speaker": {
"id": 2792,
"legal_name": "John Waluke Koyi",
"slug": "john-waluke-koyi"
},
"content": " Ahsante sana, Mheshimiwa Spika, kwa kunipatia nafasi hii ya kuomboleza kifo cha ndugu yangu na Mbunge mwenzagu. Nilimjua Mheshimiwa Hassan kwa muda mrefu tangu mwaka wa 2017. Alikuwa mnyenyekevu, mpole na mwenye bidii hata katika hili Jumba. Ninaiombea familia yake. Kwa niaba ya familia yangu na watu wa Sirisia, ninasema pole kwa watu wa Banissa. Ahsante sana, Mheshimiwa Spika."
}