GET /api/v0.1/hansard/entries/1229630/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1229630,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229630/?format=api",
    "text_counter": 374,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Endebess, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. (Dtk.) Robert Pukose",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, nasimama kwa hoja ya nidhamu chini ya Kanuni 91. Mhe. Zamzam lazima apeane ukweli wa mambo. Kitu cha kwanza, amesema kwamba Wajumbe hawajalipwa mshahara kwa zaidi ya mwezi moja na mimi nililipwa Alhamisi ya wiki iliyopita. Sijui yeye hakulipwa ama alilipwa? La pili, amesema kwamba wale watu waliokufa katika maandamano waliuawa na polisi. Ningependa athibitishe hilo. Ahsante."
}