GET /api/v0.1/hansard/entries/1229643/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1229643,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1229643/?format=api",
    "text_counter": 387,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Martha Wangari",
    "speaker_title": "Spika wa Muda",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": " Order . Mhe. Zamzam, nimekuskiza kwa makini. Nafikiri ni vizuri useme vilivyo. Kama ulisema mshahara umechelewa, hilo ni sawa. Lakini haijachelewa zaidi ya mwezi mmoja. Ni vizuri tuseme mambo vile yalivyo. Tafadhali tufuate Kanuni zetu na tuseme ukweli ambao unaweza kuthibitishwa kwenye Bunge."
}