GET /api/v0.1/hansard/entries/1230186/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1230186,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230186/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika. Ningependa kulielezea Bunge hili kuwa nyumba ya Azimio la Umoja-One Kenya Alliance ina wenyewe. Wakati ule walipanga kumchagua wanayemuweka pale, walizungumza kando. Hakuna yeyote ambaye amesema kuwa nafasi hiyo ikitoka kwa Jubilee Party inaenda kwa ODM Party. Haya ni mambo ya Azimio la Umoja-One Kenya Alliance. Ninataka nimwambie Kiongozi wa Waliowengi Bungeni kuwa nyinyi ndio mnawadanganya hawa Wabunge. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}