GET /api/v0.1/hansard/entries/1230194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1230194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230194/?format=api",
    "text_counter": 213,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kikuyu, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ichung'wah",
    "speaker": null,
    "content": "Amenitaja kama Kiongozi wa Chama cha Waliowengi. Amesema kuwa tumemtongoza mwanamke hadi akatoka kwa ndoa yake na tunamdanganya. Unajua mke wangu huwa anaangalia haya mazungumzo katika Bunge na anatoka katika eneo la Nyeri. Akisikia Mama Zamzam akisema kuwa nimemtongoza mwanamke mwingine akatoka kwa ndoa yake… Ni Zamzam ama Tamtam?"
}