GET /api/v0.1/hansard/entries/1230199/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230199,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230199/?format=api",
"text_counter": 218,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, kila siku Kiongozi wa Waliowengi lazima anipinge. Nafikiri huwa anasikia raha. Lakini nitasema ukweli. Wabunge mlioko hapa, fanyeni heshima na coalition iliyowapa nafasi. Kama leo umechaguliwa huku na kesho nakuona kule kwingine, nitakuamini vipi kama utaweza kuniwekea mambo yangu ya ndani wakati unatembea na jirani? Ninampenda sana dada yangu Mhe. Sabina Chege. Ni kiongozi mchapa kazi. Juzi ndugu yangu Hon. Adan Keynan ameorodheshwa kwa wale walio Kenya Kwanza. Vukeni safu daka kwa daka. Upande huu tujue tunaweza kusimama na Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party kama watu waliostawi na msimamo. Lakini mkidanganywa leo na kesho mwende kule, hamwezi kuaminika. Mtakuwa mkiwekwa kando kando. Nimefunga Ramadhani. Hilo mliweke kwa akili. Liwe litakalokuwa, tuko Azimio. Hata tukibaki wawili, tutabaki huku. Watakao kwenda waende. Ahsante sana, Mhe. Spika."
}