GET /api/v0.1/hansard/entries/1230299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1230299,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230299/?format=api",
    "text_counter": 318,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kuria East, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Maisori Kemero",
    "speaker": null,
    "content": "Tumemwangalia Mhe. Ogindo vizuri. Bunge lilipopeana nafasi kwa mtu yeyote ambaye ana swali lolote au shauku yoyote kuhusu Mhe. Ogindo ajitokeze, hapakuweko mtu yeyote aliyejitokeza. Hiyo inaonyesha wazi kwamba hata nchi nzima inakubaliana naye na tumpongeze katika uteuzi huu. Mhe. Rais alimchagua mtu mwenye uwezo na tajriba ya kuweza kufanya kazi hii kwa namna ambayo itafanya nchi hii kutamaniwa na nchi zingine."
}