GET /api/v0.1/hansard/entries/1230300/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230300,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230300/?format=api",
"text_counter": 319,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kuria East, UDA",
"speaker_title": "Hon. Maisori Kemero",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika wa Muda, ninaomba niachie hapo. Ninaomba Bunge hili kuunga mkono Hoja hii ili tupitishe uteuzi wa Mhe. Martin Ogindo, ndio aendeshe sekta hii mpya ili ipatie watoto wetu ajira na kuendeleza uchumi wa jamii nyingi katika nchi hii, haswa maeneo ya Pwani, Turkana, Kisumu na maeneo yote yaliyo na zawadi ya maji tuliyopewa na Mwenyezi Mungu."
}