GET /api/v0.1/hansard/entries/1230309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1230309,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230309/?format=api",
    "text_counter": 328,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Amina Mnyanzi",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii. Ninaunga mkono yale maneno ambayo Mwenyeketi wetu amesema. Niko katika kamati hii ya Uchumi Samawati na Maji. Huyu ndugu wetu Mhe. Martin Ogindo alipokuja mbele yetu tulimchunguza, tukampekua na tukampiga msasa kuhakikisha kwamba amefuata zile sheria na kanuni za kuweza kuandikwa kazi katika Kenya. Kama vile Mwenyekiti wetu alivyosema, kazi ya Mhe. Ogindo inajizungumzia. Amekuwa mkurugenzi katika shirika la Agricultural Development Corporation; alikuwa mshauri wa Gavana wa Nairobi mwaka 2016, na amekuwa Mbunge wa Rangwe. Kwa hivyo, ni mtu ambaye ana uzoefu wa kazi za umma. Ana ujuzi na taaluma katika sekta ya umma. Katika mahojiano yetu, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}