GET /api/v0.1/hansard/entries/1230340/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1230340,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230340/?format=api",
    "text_counter": 359,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "nyama. Lakini hata ukienda hospitali daktari atakwambia ule nyama nyeupe. Sisi tuna samaki. Tuenzi samaki kama mataifa mengine yanavyoenzi samaki. Ninatembea katika supermarket zetu nyingi nikiangalia kama wanauza samaki kutoka Ziwa Victoria ambayo iko na maji baridi. Ninaomba waweze pia kuuza samaki kutoka maji ya chumvi ili tuinue uchumi wa wavuvi wetu wote kutoka Pwani na bara."
}