GET /api/v0.1/hansard/entries/1230341/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230341,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230341/?format=api",
"text_counter": 360,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Ninashukuru supermarket ya Carrefour. Juzi nikitembea katika pitapita zangu, niliona wameweka samaki wote, wa bara na wa Pwani. Ninawashukuru sana kwa sababu wametoa mfano mzuri. Tusiuze samaki kutoka ziwani pekee. Tuangalie na samaki ya bahari ili tuboreshe soko la samaki."
}