GET /api/v0.1/hansard/entries/1230349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1230349,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230349/?format=api",
"text_counter": 368,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Vile vile, kuna wavuvi wengi sana kule nyanjani. Kwa mfano, nikiangazia sehemu yangu, kuna wavuvi pale Mkupe, Jomvu Mission, Jomvu Kuu, Mikindani, Kibarani na Likoni. Ni muhimu sana hawa wavuvi wote watambulike na Mamlaka hii ili wainuliwe katika biashara yao kwa kutafutiwa market . Wakivua, wasiwe wanaishi katika ile hali wazungu wanaita hand-to-mouth . Lazima wafanye commercial fishing, yaani ile biashara ya ukuzaji wa samaki wa kupata mapato. Isiwe wanauza kutoka kwa nyumba moja hadi nyingine."
}