GET /api/v0.1/hansard/entries/1230352/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1230352,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1230352/?format=api",
    "text_counter": 371,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "ama ndani kabisa ya bahari kuvua. Tukiangalia nchi ambazo wanafanya hivyo, hata hapa tu Uganda, Serikali ya Uganda imeweka mikakati kuhakikisha kuwa maji yao hayaingiliwi. Kwa hivyo, ni muhimu sana Serikali yetu ya Kenya ihakikishe kuwa sheria zimewekewa hawa Wachina. Sio eti wavue samaki kwetu halafu waje watuuzie nasi tutoe pesa tununue. Kile ambacho wanafanya, Wakenya pia wanaweza kukifanya."
}